.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Mtandao unaodeal na habari za mastaa TMZ umeripoti kuwa ,
Chriss brown kapewa adhabu nyingine na mahakamaya
kufanya kazi za kijamii kwa masaa nane kila siku, na kwa
mujibu wa ratiba aliyopewa na mahakama anatakiwa afanye kazi hizo kwa
siku 4 kila wiki, ikimaanisha ni siku 1 tu ndani ya wiki kuanzia Jumatatu
mpaka Ijumaa ambazo ‘atadeal’ na mambo yake mengine.
wa daktari wake huenda usimuokoe Chris kwenye ‘
adhabu hiyo kutokana na matukio kadha aliyoyafanya
akiwa chini ya uangalizi wa mahakama juu ya mwenendo wake baada ya kukabiliwa na kesi ya
kumtwanga makonde mpenzi wake wa zamani, Rihanna.
Posted by kifesi |
Hii ilikuwa ni kwenye mahojiano na waandishi wa habari
kipind amekuja kwenye show ya fiesta ,pamoja na mebngine
davido alisema kua Mengineamba aliyoyasema ni kwenye
album yake mpya inayotoka mwanzoni
mwa 2015
wameshirikishwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao
ni pamoja
na Diamond na Mafikizolo na kwamba kuna
wasanii wawili wakubwa wa
kimataifa aliowashirikisha ambao hatowataja kwa sasa
Posted by kifesi |
mkali kutoka Marekani Rapper T.I aliyeangusha show
ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi
Oktoba 18 2014
katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam,
ameseam kwake sho ya fiesta ndio concert kubwa kuwahi kufanya mbele ya watu zaidi ya elfu 50
Katika mahojiano aliyofanya New York Marekani na
kituo maarufu cha redio Power 105.1
kwenye show ya Breakfast
Club, T.I amesema tangu aanze kufanya muziki
hajawahi kufanya show kwenye jukwaa
lolote mbele ya mashabiki zaidi ya
50,000.
T.I amelinganisha idadi hiyo kubwa
aliyokutana nayo
Tanzania kuwa ni sawa na kufanya show katika
uwanja wa
mpira wa miguu na kuujaza kwa show
moja, kitu ambacho anakiona kabisa
sio rahisi
na ndio maana hii ya Leaders imekua kubwa kwake.angalia video ya mahojiano hayo ambapo kazungumzia pia ishu ya ebola
Subscribe to:
Posts (Atom)