Ni comedian wa kike toka ,Uganda,Africa mashariki
aliyejizolea umaafuru kwa comedy zake..tazama hapa baadhi ya video zake,lazima ucheke
...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
sehem ya kisiwa cha hawaii
Ukiwa na pesa hapa duniani bila shaka hakuna
utakaloshindwa kulifnya kulingana tu na ulefu wa pesa yako,sikia
hii,,Mmiliki wa mtandao mkubwa wa kijamii Facebook
Mark Zuckerberg amenunua
sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai kwa
dola za Kimarekani milioni 100 jarida la Forbes limeripoti.
Eneo hilolitajumuisha beach resort, mashamba ya miwa na
kilimo
hai ambapo...
Posted by kifesi |
.
Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.
Good News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda
kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti
& Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani
mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston
Kupitia ukurasa...
Subscribe to:
Posts (Atom)