CRDT- Jestina-george
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Msanii Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Nigeria zinazofahamika kama The Headies 2014. Diamond ametajwa kwenye kipengele cha Msanii bora wa Afrika yani [ Best African Artist] na anachuana na wakali kama Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana na REBess.
Tuzo zinafanyika October 25,2014.
Posted by kifesi |
Msanii wa Nigeria anaetamba na hits kibao, Davido ataingia Tanzania mwishoni mwa mwezi huu na kufanya show kubwa November 1.
Msanii huyo analetwa na kituo cha radio cha 100.5 Times Fm kupitia tamasha lake jipya lililopewa jina la ‘The Climax’.
Tayari vidokezo vya show hiyo vimeanza kurushwa kwenye kituo hicho cha radio huku orodha ya mengi yatakayofanyika ikitarajiwa kuwekwa wazi muda wowote kuanzia leo.
Davido ambaye ni mshindi wa tuzo kadhaa kubwa ikiwemo tuzo ya BET na MTV (MAMA) anatamba na hits kadhaa ikiwemo Skelewu, Aye, tchelete na nyingine nyingi.
Kaa mkao wa kushangweka na kilele cha burudani cha mwaka ‘The Climax’ ya 100.5 Times FM.
“Paris was Great next stop!! LONDON –LAGOS-WARRI-SOUTH AFRICA-NAMIBIA-TANZANIA lego.” Ameandika Davido kwenye Instagram.
Subscribe to:
Posts (Atom)