Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18
December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi
atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye
party ya Jose chemeleone ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe hizo hizo.
Ikumbukwe Jose na Zari walishawahi kuwa wapenzi kipindi cha nyuma hadi
kufikia Zari kugombana na mke wa Chameleon. So ni watalaka kwenda kwa
party za watalaka. Hii Kali sana japo...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Posts (Atom)