.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
The sizzling hot performer line-up for the MTV Africa Music Awards (MAMA) 2014 just got even hotter with the addition of African artists and nominees Diamond, Wizkid, Phyno and Yuri da Cunha. The 2014 MTV Africa Music Awards is brought to you by KwaZulu-Natal Province and supported by Absolut and the City of Durban.  South Africa Tourism is also a key partner to the awards. Between them, Diamond (Tanzania), Wizkid (Nigeria), Phyno (Nigeria)...
Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
Moja ya sifa kuu ya mwanamziki anaefanya vizuri zaidi kwa sasa.Diamond platnumz,ni pamoja na mapenzi makubwa kwa mama ake,na jinsi wanavyopendana,na huenda hii ni moja ya sababu ya yeye kufunguliwa milango la neema kila siku,Kwani hakuna kama mama na mama ni Mungu wa Duniani,picha hizi mbili zinamwonesha Diamond akiwa chumbani kwake akijiandaa ,lakini yupo na amam ake   akimpangilia nguo mwilin i,kama wafanyavyo wa mama kwa watoto wao wadogo..very...
Posted by kifesi |
huyu ni Mtawa kikatoliki kutoka Italia ambaye kwenye mashindano ya kuimba ameibuka na ushindi wa hali ya juu. sisterBaada ya kuibuka na ushindi huu mtawa huyu amekua na umaarufu katika mitandao mbalimbali ya kijamii,Sister huyu anaitwa Sister Christina Scuccia ambaye kwa mara ya kwanza alitokea katika televisheni katika kushiriki shindano la The Voice. Sister Scuccia ambaye ana umri wa miaka 25 alivalia mavazi yake ya utawa kama kawaida na alijawa...