.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Moja ya sifa kuu ya mwanamziki anaefanya vizuri zaidi kwa sasa.Diamond platnumz,ni pamoja na mapenzi makubwa kwa mama ake,na jinsi wanavyopendana,na huenda hii ni moja ya sababu ya yeye kufunguliwa milango la neema kila siku,Kwani hakuna kama mama na mama ni Mungu wa Duniani,picha hizi mbili zinamwonesha Diamond akiwa chumbani kwake akijiandaa ,lakini yupo na amam ake   akimpangilia nguo mwilin i,kama wafanyavyo wa mama kwa watoto wao wadogo..very interesting..all in all,tuwapende na kuwathamini wazazi wetu,hususani mama zetu,kwani wengi hujisahau na kuwaheshimu zaidi baba sababu ni wakali.


1 comment: