
Mmoja
wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitoa muongozo
mfupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka,kuhusiana na
ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani,wakati wa hafla ya
kutimiza miaka 15 ya kituo cha redio ya Clouds FM,tangu kuanzishwa kwake
nchini.Redio hiyo imejizolea umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na Kati
na Duniani kwa ujumla
Mkurugenzi
wa Uzalishaji na Vipindi Ruge Mutahaba akilishwa...