.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kupitia Ukurasa wake wa INSTAGRAM..Mtangazaji wa Clouds FM, DIVA atoa ushauri huu kwa wasanii wa hapa TZ....Nanukuu.. "Goodmorning Tanzania. So kuna Mtu aliniuliza kwanini Nigeria wanakuwa wameishika Africa na kuwa nominated kwenye Tuzo nyingi Africa na duniani kwa ujumla. Kwanza ifahamike Nigeria kuna watu zaidi ya Mil170 na Tanzania ni kama watu Mil44 hivi kwa harakaharaka na hatutaweza hata robo kushindana nao sababu hawa jamaa kwanza wanashinda...
Posted by kifesi |
Pasipo shaka na wewe ulishawai sikia ama kusoma sehem kuwa ,mama yake diamond hampend ama hapatani na wema,sasa mmoja ya wahusika(wema)amefunguka,akiongea na millardayo..Wema anasema ‘Watu wanasikia vitu vingi hata kwenye Magazeti watu wanaandika vitu vingi hususani Waandishi huwa wanatengeneza ili tu kupata habari lakini hatuwezi kusema kila kitu kinachotuhusu sisi kila mtu anajua….. hapana, mbona mimi na mama tunapatana tuuuu’ ‘Mbona mami ake...
Posted by kifesi |
Jeshi la Polisi linawahoji watu nane wakiwemo Madaktari wa chuo cha kitabibu cha IMTU kwa madai ya kutupa mabaki ya masalia ya binadamu katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji kata ya Mbweni wilayani Kinondoni Dar es salaam. Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova alisema kulipatikana mifuko 85 iliyobeba mabaki ya masalia hayo ya binadamu. ‘Imeonekana mara ya mwisho viungo hivyo vilikua katika chuo cha Udaktari cha IMTU...