.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi Leo vimewekwa wazi bei ya viingilio..kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.
And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP
1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....
3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......
( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinjwaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400 #KIMENUKA
Posted by kifesi |
Ijumaa hii Wema Sepetu alikuwa mgeni kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni pamoja maisha baada ya kuachana na Diamond Platnumz.
Haya ni mambo 10 aliyosema:
1. Maisha yake bila Diamond yako poa tu japo mazoea yaliyokuwa yamezidi kati yao yanamfanya wakati mwingine kummiss!
2. Ameshakubali ukweli kwamba yuko mbali na Diamond
3. Anaamini kuwa Diamond anammiss pia kutokana mazoea waliyokuwa nayo
4. Wema na Diamond sio marafiki
5. Hana kinyongo na Diamond ila anaamini kuwa Diamond bado ana kinyongo naye
6. Ni shabiki na ataendelea kuwa shabiki wa nyimbo za Diamond
7. Hawajahi kukutana na Diamond tangu waachane
8. Hajawahi kumpigia simu
9. Aliwahi kumtumia meseji Diamond kumpa pole kwa kuuguliwa na mama yake
10. Bado hajapata mwanaume mwingine
Subscribe to:
Posts (Atom)