Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly |
Siku ya Jumamosi ya week iliyopita tarehe Oct 4, 2014.kulifanyika
\ mkutano wa DICOTA 2014 Convention Durham North Carolina
uliohisisha wafanyabiashara toka sehemu mbali mbali na
uliohisisha wafanyabiashara toka sehemu mbali mbali na
Mkurugenzi wa kwetu fashion,Miss T alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly,zifuatazo ni baadhi ya picha walipoenda kupata sala EAID..
Picha zaidi za mkutano zitakujia ..