.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA POLE POLE NA HUKU WANANCHI TUKIANGALIA KWA MACHO YETU, NA TUKISIKIA KWA MASIKIO YETU HATUJUI UKWELI WA NDANI WA TATIZO LA FLORA NA MUMEWE LAKINI KUNA NENO MOJA KATIKA ISHU YAO YA FLORA MBASHA KUWA KIMADA WA MCHUNGAJI GWAJIMA HUKU AKIWA BADO MKE HALALI WA MBASHA HALINA UBISHI JUU YA UKWELI WAKE, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI TAYARI UMESHATOLEWA NA GWAJIMA MWENYEWE AMESHINDWA MPAKA LEO KUKANUSHA, KAMA KINACHOSEMWA NI KWELI NA UKWELI NI KWAMBA MBASHA ANAKARIBIA KWENDA KUOZA JELA KAMA NGUZA NA WANAWE KWA SABABU AMBAZO NI TATA!!

- SASA HAYA YOTE YANATOKEA MBELE YA MACHO YETU NA MASIKIO YETU HII JAMII,  SIJASIKIA MWANAUME YOYOTE MWENYE NGUVU KATIKA JAMII YETU AKIJITOKEZA KUSEMA LOLOTE ON THIS ISHU NA SISI WANAUME WENGINE WOTE TUMENYAMZA KIMYAA ILA AKIFUNGWA MAISHA JELA SASA UTAONA MAKELELE WAKATI KUMBE KAMA NI MAKELELE YA DHULUMA YANATAKIWA KUPIGWA SASA, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI UNAONYESHA KAMBA FLORA MBASHA NDIYE MCHAWI HAPA KWA SABABU PIA ALIWAHI KUMSINGIZIA MCHUMBA WAKE WA KWANZA KUWA ANA UKIMWI, NA THE FACT KWAMBA MDOGO WAKE ANAYEDAIWA KUBAKWA HAPA TAYARI AMEWAHI KUTENGENEZA VIDEO YA NGONO NA MRISHO NGASSA WA YANGA NA IPO MITANDAONI NI DALILI TOSHA KWAMBA HII KESI INA UTATANISHI SANA, SIO SIRI FLORA ANA NGUVU YA PESA KULIKO MUMEWE NA HASA UKIZINGATIA KWAMBA ANA GWAJIMA WITH HER NA NGUVU YA PESA NIMEIONA JUZI MBASHA ALIPOPELEKWA RUMANDE, NOW PEOPLE THIS IS ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING KAMA KWELI SISI NI WAPENDA HAKI BASI WAKATI NI HUU KUMSAIDIA MBASHA, INGAWA BINAFSI NAOMBA KUSEMA UKWELI WANGU I DON'T LIKE BOTH OF THEM THE MAZAFANTAZAZZ I MEAN FLORA NA MUMEWE KWA SABABU NAWAONA NI WASANII WA AJABU SANA WALIOISHI KISANII KWA MUDA MREFU SANA KWA KUWADANGANYA MASIKINI NA KUCHUKUA HELA ZAO ZA SADAKA MPAKA MUNGU ALIPOAMUA KUWAFICHUA USANII WAO HIVI KARIBUNI NA THIS KESI HATA MBASHA SIAMINI KWAMBA HE IS A REAL MAN KWA SABABU ANGEKUWA HE SHOULD HAVE FIND A SOLUTION LOONG TIME AGO KWA SABABU INAELEKEA WALIKUWA NA MATATIZO KWA MUDA MREFU SANA LAKINI MBASHA HANA PESA SO ALIKUWA AKITEGEMEA PESA ZA FLORA NDIO MAANA WAMEDUMU MUDA MREFU AND YES I SAY THIS KWA SABABU HAKUNA A REAL MAN DUNIANI ANAYEWEZA KUMUONA MKE WAKE WA NDOA ANAISHI NA GWAJIMA LAKINI BADO AKAMVUMILIA THE MAZAFANTAZZ I SAY NO WAY!! NDIO MAANA NAWAITA WOTE WAWILI WASANII WA AJABU INFACT INGEKUWA UWEZO WANGU NINGEWAWEKA JELA KWA HATA MWEZI MMOJA TU KWA KUDANGANYA UMMA KWAMBA NI WATU WA MUNGU SANA THE MAZAFANTAZZ THEY ARE NOT HAWA WOTE WAWILI THEY BELONG IN JAIL!!, LAKINI FOR THE SAKE OF THIS SUBJECT NASEMA HIVI HII KESI HAIKO SAWA AS OF USHAHIDI WOTE WA MTAANI ULIOTOLEWA SO FAR!! NI UAMUZI WETU WANANCHI KUMSAIDIA MBASHA AU KUNYAMAZA MPAKA AFUNGWE MAISHA NDIO TUANZE KULIA LIA DHULUMA!!, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ SYSTEM
Posted by kifesi |




















Posted by kifesi |







Posted by kifesi |

Katika ukurasa wake wa instagram mwanadada wema sepetu ameshusha maneno mazito sana yaliyowaacha baadhi ya followers wake watokwe na machozi na wengine kuhuzunika. Ujumbe huu unahusu kutukanwa kwa mama yake japokua wema hakutaja kwa uwazi tukio halisi analolihusisha na ujumbe wake huo japokua kwa siku ya leo  au hivi karibuni hakuna habari mbaya ya kufahamika iliyomhusisha mama yake wema so inawezekana pia ikawa ni baina yake na kundi la watu fulani. Wema alifunguka na kusema haya..”Dah…! Sijui hata niseme nini…! Ila si mlitaka kuniumiza… leo mmefanikiwa… nawapeni hongera…. Tena mmetisha haswa… Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu… Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo… I min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my mum out of it… Kawakosea nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo… Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu… mnataka afe na yeye nibaki yatima sio… dah… leo mmeniweza… saana jamani… Basi naomba isifike huko… nina uchungu sana na mama angu … nampenda sana mama angu ila naona mnataka kuniulia mama angu… Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa mwenzako… una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu wa mama… dah… nime surrender leo…. hongera zenu narudia tena… mmeniweza leo…. dah… Mungu nipe nguvu ktk hili jamani… Kwani nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba…. Eeeh mungu… Dah… Ila nashkuru….“