Story mjini ni kwamba Wiz Khalifa ameokana akila good
times mrembo Sara
Dajstani ambae ni model na inasemekana
kwamba ndio mpenzi wake mpya
baada ya kumwagana na Amber.siku chache zilizopita.
Wawili hawa walionekana pamoja kwenye ‘bata’ huko
Hollywood Marekani
Jumanne ya wiki hii ambapo japo
hawakukamatwa na camera wakiwa kwenye
picha
ya pamoja, walikuwepo pamoja ndani na hata kuondoka waliondoka...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
estinaGeorge.Com imekuwa nominated
kushindania
tuzo za BEFFTA zitakazo fanyika nchini Uingereza
mwishioni
mwa mwezi huu October. Ili kuiwezesha
kushinda anahitaji kura zetu.
Kupiga kura
unatakiwa kwenda www.beffta.com/voting kuna link
kwenye bio
yake @officialjestinageorgeblog kisha
fuata maelekezo. Ukisha jaza jina na email yako pale
kwenye Nomination Category unachagua
Newspaper/Magazines/Blogs...
Posted by kifesi |
Diamond platnumz anakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari.
ambapo Utaratibu wa kuweka majina badala ya namba umeanza kutumika kihalali
nchini Tanzania ambapo watu mbalimbali wasio maarufu walishaanza
kujiwekea miezi kadhaa iliyopita ambapo ada yake ni milioni tano kwa
miaka mitatu.Mpango
wa mastaa kuweka majina kwenye magari yao badala ya namba tulizozizoea
umekua ukitumika kwenye nchi mbalimbali duniani...
Posted by kifesi |
Tazama picha za CEO na mbunifu wa mavazi ya kwetu fashion,Miss t akiwa ndani ya vazi alilolidesign yeye mwenyewe,usisahu kuwa Miss T
anapenda kudumisha vya nyumbani ndio mana mavazi yake mengi,yako katika mwonekano wa Kiafrica,mwonekano wa kinyumbani kama vazi hili alilovaa siku ya mkutano wa DICOTA,Hatukukwambia kama Miss Temeke ni Model pia siyo tu model wa kupitia mafunzo bali model wa kuzaliwa,pasipo shaka mwonekano wake na vazi
mavazi...
Posted by kifesi |
Toka mshindi wa miss Tanzania 2014
Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake
halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na
mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania
ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...
Team ya kazi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli
wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka
zake mbali mbali...
Posted by kifesi |

Akiongea na mtandao wa Sammisago,Mwimbaji bwana mdogo
ambae ana mahusiano na Shilole,Nuh Mziwanda amesema anawapenda sana watoto wawili wa mpenz wake huyo
akaongeza kuwa
"Watoto wananiita Uncle, wakiwepo nyumbani kuna kazi hata
sifanyi,
wananiwekea maji ya moto, asubuhi huniwekea chakula
mapema na Joyce
ambaye ni mkubwa ananielewa na hunisaidia kila kitu"
tazama video ya interview hapa chini.
...
Subscribe to:
Posts (Atom)