Diamond platnumz anakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari.
ambapo Utaratibu wa kuweka majina badala ya namba umeanza kutumika kihalali nchini Tanzania ambapo watu mbalimbali wasio maarufu walishaanza kujiwekea miezi kadhaa iliyopita ambapo ada yake ni milioni tano kwa miaka mitatu.
Mpango wa mastaa kuweka majina kwenye magari yao badala ya namba tulizozizoea umekua ukitumika kwenye nchi mbalimbali duniani
0 comments:
Post a Comment