.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...

Team ya kazi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo

pia
hayakukosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa.

Huyu binti wa Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling

Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake.

Jamiiforums ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo


By mzalendo91:
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age

Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age

Minus 7yrs primary education = 0yrs of age

Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age

Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age

So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa

Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
..SOURCE_jamiiforum

0 comments:

Post a Comment