Akiongea na mtandao wa Sammisago,Mwimbaji bwana mdogo
ambae ana mahusiano na Shilole,Nuh Mziwanda amesema anawapenda sana watoto wawili wa mpenz wake huyo
akaongeza kuwa
"Watoto wananiita Uncle, wakiwepo nyumbani kuna kazi hata
sifanyi,
wananiwekea maji ya moto, asubuhi huniwekea chakula
mapema na Joyce
ambaye ni mkubwa ananielewa na hunisaidia kila kitu"
tazama video ya interview hapa chini.
0 comments:
Post a Comment