Hivi
sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na
mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani
yake.
Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi,
sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16,000,vyumba vya kulala
10,gym kubwa,bwawa la kuogelea,movie theater yenye screen ya inch 160 na
vitu vingine.
Justin Bieber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Baada ya gazeti la udaku(AMANI)kuandika tuhuma kuwa Diamond anafanya biashara ya madawa ya kulevya
leo kupitia Bongo 5 meneja wa Diamond,Babu tale amekanusha
Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa
dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya
madawa ya kulevya,” amesema Tale.
“We get more money from music, sio
kwenye madawa ya kulevya, hatufanyi hizo
biashara na kama wanahisi sisi tunafanya
tunawaruhusu watufanyie investigation hata
kwa...
Posted by kifesi |

THE FIRST RED CARPET MAGAZINE RELEASE PARTY!!!!!!!!
In honor of the limited edition Betty Fashion No. 1, we are hosting an
exclusive Magazine release party to celebrate the months of hard work
that went into producing our first printed magazine on September 6, 2014
at 9 pm @ Cristal Restaurant and lounge. There will be a fashion show
by top designers LIC Fasion (America), Sifa Love( Congo), KEWTU
Fashion (Tanzania) with Ethiopian and American...
Subscribe to:
Posts (Atom)