.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Its been months since more than two hundred Nigerian school girls were kidnapped by terrorists from their school dormitory and with each day every one seem to be forgetting about this sad incident. For a minute, the whole world was united and campaigning for the girls to be released and then everything went silent. The media doesn’t cover the story as much as it used to and the girls remain missing with their families still hoping against hope...
Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
Mwanamke mmoja Alexis Stanton amelazimika kunyoa nywele zote kichwani baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye gundi aina ya super glue. Mwanamke huyo alilazimika kubaki na kipara na majeraha kidogo ambapo amesema alifanya hivyo baada ya kujikuta nywele zake alizokuwa amebandika kichwani kunasa kwenye gundi ambayo ilishindikana kutoka. Mwanamke huyo kutoka Newcastle anasema kuwa bado anahisi maumivu kwenye kichwa chake na kwamba amelia sana...
Posted by kifesi |
Kuisha vituko na matukio ya ajabu Duniani bado sana sikia hii..Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari hilo dogo mapema alfajiri ambapo alifanyiwa kitendo hicho cha ubakaji katika eneo lenye nyasi nyingi karibu na daraja la Redheugh, Newcastle. Timu ya uchunguzi wa makosa ya ubakaji hivi...