BAADA YA SHOWS ZA AMERICA NA UK,DIAMOND ALIRUKA KWENDA NCHINI GHANA KWA SHUGHRI YA MZIKI ,KUBWA NI KUSHOOT VIDEO YA WIMBO AMBAO BADO HAUJAFAHAMIKA NA WIMBO UPI,HAPA NI KWENYE MOJA YA SCENE AKIWA NA MWANAMZIKI MKUBWA KABISA NIGERIA,TIWA SAVAGE,BIG UP DIAMOND
Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.
Ikiwa ni moja katika ya sauti kubwa za kifasihi duniani, Maya alitengeneza jina lake mwaka 1969 kupitia kitabu cha I Know Why the Caged Bird Sings.
maya
Familia yake imesema kuwa Mwanaharakati huyo aliishi kama mwalimu, mwanaharakati,msanii na mtu mwenye utu. Alikuwa sauti ya amani duniani.
Maya amefariki akiwa nyumbani kwake Kaskazini mwa Jimbo la North Carolina.
MISSY TEMEKE Missy Temeke is one of the Prominent African fashion designers, recognized for her artistic and technical skills and for creating simple, comfortable women’s wear. Born and raised in the Dar-es-salaam, Tanzania, Missy Temeke'spassion for fashion began in her teens when she worked as a Model, beauty pageant and beautician for the clouds company while attending school. Missy Temeke began her......CLICK THE PICTURE TO CONTINUE READING