.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
mayaangelou Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Ikiwa ni moja katika ya sauti kubwa za kifasihi duniani, Maya alitengeneza jina lake mwaka 1969 kupitia kitabu cha I Know Why the Caged Bird Sings. maya Familia yake imesema kuwa Mwanaharakati huyo aliishi kama mwalimu, mwanaharakati,msanii na mtu mwenye utu. Alikuwa sauti ya amani duniani. Maya amefariki akiwa nyumbani kwake Kaskazini mwa Jimbo la North Carolina.

0 comments:

Post a Comment