.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Nicki Minaj aliandika malalamiko yake kwenye akaunti yake ya Twittter akidai kuwa mkuu mpya wa shule aliyosoma alimzuia kuingia shuleni hapo kuongea na wanafunzi kwa lengo la kuwainspire.
Wengi walidhani kuwa tatizo ni video na picha zisizo na maadili za Nicki Minaj ambazo zilimfanya mwalimu huyo kudhani asingekuwa mfano mzuri kwa wanafunzi wake.
Lakini kwa mujibu wa Mediatakeout, moja kati ya wajumbe wa baraza la wazazi waliweka wazi sababu ya Nicki kunyimwa kibali.
Ameeleza kuwa Nicki Minaj alilenga katika kutaka kujitangaza zaidi kwa kuwa baada ya kukatazwa na kitengo cha elimu cha New York kuingia na wapiga picha za video kwenye shule hiyo.
“Ukweli ni kwamba Ms. Minaj aliambiwa na kitengo cha elimu cha New York (NYC Department of Education) kuwa asingeruhusiwa kuingia shuleni pale na crew ya television. Kitengo hicho kina sera zake kulinda faragha na usalama wa kila mwanafunzi. Nina uhakika wote tunakubali utekelezwaji makini wa sera hii kwa kuzingatia usalama wa watoto wetu.
Ameongeza kuwa Nicki Minaj alitaka kuweka kwenye video kila kitakachofanyika pale kama sehemu ya kampeni ya kujitangaza kwa umma kwa mazuri anayofanya.
“If it’s a PR war Miss Nicki wants, she’s going to lose. What if she had just played by the DOE’s guidelines? That would have been too easy.”
Posted by kifesi |
Mwanamziki anaehusudiwa zaidi na kinadada..Trey Songz ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji wa RnB ambaye pia ni rapper wa kike, Mila J.
E!News imethibisha kuwa wanamuziki hao ni wapenzi na wamekuwa wakionekana pamoja kwenye hafla mbalimbali.
Trey Songz na Mila J walionekana katika shughuli ya Ne-Yo Ijumaa iliyopita na mashuhuda walieleza kuwa waliwaona wakiwa katika poz za mahaba na mara nyingine walikuwa waki-kiss.
Trey Songz alichochea tetesi hizo kwa kupost picha kwenye Instagram akiwa na Mila J na kuandika ‘She so fine’.
Subscribe to:
Posts (Atom)