Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kwamba idadi ya wanawake wasiyoikubali miili yao hapa nchini ni kati ya 25 hadi 35, kwa maana kwamba ni wanawake 25 hadi 35 katika kila wanawake 100 wasiyokubali miili yao. Ndiyo maana siku hizi tunashuhudia baadhi ya wanawake hapa nchini wanaohangaikam kutafuta dawa za kukuza makalio yao na kubadili rangi ya ngozi zao.
Kuna yale ambayo mtu hawezi kuyabadili, kama vile sura, makalio, kimo na maumbile...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Posts (Atom)