.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Toni Braxton with her sons, Denim & Diezel That’s a very hot woman and of course, one talented singer … but is this too much?! Toni Braxton, 47, attended UNCF An Evening of Stars in Atlanta, Georgia, USA this week with her mother, Evelyn Braxton and her two children – sons Denim Cole Braxton-Lewis and Diezel Ky Braxton-Lewis. As much as she looked great, the dress showed so much of her body through...
Posted by kifesi |
Msanii wa Rnb Rihanna aka Rih Rih amekanusha taarifa za kuwa alionekana kwenye video akijitayarisha na kuvuta dawa za kulevya aina ya Cocaine. Video hio inamuonyesha Rihanna na marafiki wachache wa kicheza muziki wa reggae huku Rihanna akivuta kitu kisichojulikana. Rihanna aliandika hivi instagram kuhusu uvumi huo  uliosambaza na mtumiaji wa instagram ambaye kwa sasa amefuta account Yake.. “Your lame ass got some f**king nerve!!!” ...
Posted by kifesi |
Ujumbe kutoka kwenye instagram ya Wasafi ambay ni lebel ya Diamond Platnumz wasasema Diamond hukesha usiku kucha na siku zingine mpaka asubuhi akirekodi na maproducer tofauti. “ ..Sa 12 asubuhi.. Baada ya kuutumia usiku mzika akiwa studio ..akapitiwa usingzi mule mule studio ..Kitu kimoja ambacho hukifaham..Diamond hajawahi kufaidi usingizi wa usiku kww kulala mapema .si kwamba anakawia kulala akiwa anatazama movie..ama anacheza game...
Posted by kifesi |
 uzinduzi wa Movie hii uliofanyika APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. tumeona watu wengi wanalalamika kwamba story za kwenye Bongo Movie ni kama zinajirudia rudia hivi, lakini hii iko tofauti. Story ya movie inahusu Daktari mmoja kutoka Marekani anakuja zake TZ kuvolunteer kama mwezi mmoja hivi.. kumbe hiyo ilikuwa ni mistake kwake? Mengi yanamtokea huyu Daktari akiwa ndani ya TZ.. Kwa time yao unaweza kuingia mtaani ukaicheki...
Posted by kifesi |
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo msanii Mabeste ameelezea mengi kuhusu hali ya mke wake ilivyo na matibabu anayotakiwa kupatiwa.. kwa sasa anahitaji sana msaada wa watu wote ili mke wake aweze kutibiwa. PART 1. Hii ni kwa waTanzania wenzangu, ndugu zangu na fans wote wa Mabeste!! Watu husema mficha maradhi kifo humuumbua!! Mke wangu anaumwa mda mref tangia ana ujauzito wa mtoto wetu (kendrick) alikua...