Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo msanii Mabeste ameelezea mengi kuhusu hali ya mke wake ilivyo na matibabu anayotakiwa kupatiwa.. kwa sasa anahitaji sana msaada wa watu wote ili mke wake aweze kutibiwa.
PART 2.
Wife wangu kwa sasa ni bado ni mgonjwa sana anahitaji usimamiz wa karibu zaidi haswa kutoka kwangu! Nimempeleka agha khan hosp...akafanyiwa vipimo, wakani hamishia muhimbili kwa ajili ya Ct Scan, ili waangalie kwa ubongo kama una uvimbe au damu imevujia! after CT SCAN ma Dr. Wame suggest apimwe M.R.I kwa vile ana symptoms zote za mtu anayekaribia kupata (STROKE) vile vile imegundulika pia psychological ameshakua affected kutokana na stress za mda mrefu, too much thinking etc. So ameshakua affected hadi imekuja physically anakua anakakamaa mwili! Kiukweli she went through a very hard time kwa kuumwa na mawazo zaidi maana tangu amzae mwanetu Kendrick hajapata malezi ya mama! Vile haezi m take care vizuri wkt yeye anaumwa! Kwa sasa bado Tunaendelea na vipimo na matibabu mpaka atakapo maliza vipimo na kupatiwa matibabu! Tatizo nililo nalo!! Nimekaa home mda mrefu sana miaka miwili na nusu sasa bila kufanya kazi kwa ajili ya kuuguza! Maana hali ya wife nilikua siwez kumuacha na mschana wa kazi au mdogo wangu ambao naishi nao coz hawaezi mhandle wife incase lolote likitokea! Na mda wote huo nimekua niko nae kwa ukaribu sana hata kama natoka issue ya muhim na yy yuko sawa kias basi atajikaza tuta toka wote! Hiii imepelekea Mabeste kutoskika kimziki! Kusimama kwa biashara zangu,kumaliza pesa zangu zote Bank!! Maana ilikua pesa zinatumika bila kuingia! Kwa matibabu na basic needs za daily life! Coz nna wadogo zangu pia nawalea! Hapa nilipofikia naomba msaada wenu ili niweze kumtibia my wife! Coz bado anahitaji kuendelea na matibabu na vipimo! Naamini MUNGU mwema Atamponya lakini kwa sasa Nimekwama kuendeleza matibabu vile for two years na nusu nilikua natumia pesa tu bila kuingiza! So kwa yeyote atakaye guswa Tgo pesa 0715032472 jina la usajiri William V. NGOWI
SPECIAL THANKS TO
@nchakalih @vanessamdee @manecky_amrec
@bobmanecky @officialbriantz @likudaz @clowtz @djmafuvu @adamjuma ( Aj) @adolphghika@castolocavana @kennedyEATV
na kama kuna nilie msahau thanks saaana kwa support yenu hadi hapa nilipofikia MUNGU
0 comments:
Post a Comment