Ujumbe kutoka kwenye instagram ya Wasafi ambay ni lebel ya Diamond Platnumz wasasema Diamond hukesha usiku kucha na siku zingine mpaka asubuhi akirekodi na maproducer tofauti.
“ ..Sa 12 asubuhi.. Baada ya kuutumia usiku mzika akiwa studio ..akapitiwa usingzi mule mule studio ..
Kitu kimoja ambacho hukifaham..Diamond hajawahi kufaidi usingizi wa usiku kww kulala mapema .si kwamba anakawia kulala akiwa anatazama movie..ama anacheza game ama yupo club or bar..
Mda mwingi anautumia akiwa studio kama hivi..ama akiwa nyumbani basi atakesha akiandika nyimbo tofauti tofauti ndio mana usishangae hadi sasa ana mamia ya nyimbo za kila stayle zipo tu stoo..
Then imagine mtu kama huyu
Anavohangikia kazi yake..kwa juhudi zake mwnyewe anatengeneza kazi nzuri..then mtu from no where atake kumshusha hata wengine kumbeza ..
Na wale wavivu Wa kufikiri kuleta stor za ufriimasoni cjui ndumba TZ tubadilikeni basi tuamini tu kua mafanikio hayaji kwa kutegmea mgongo ama kiki ya MTU mwingine ama kukaa / kufanya starehe tuu ukitegemea kufanya vzuri… badala ya kupiga kelele Basi IGA hata mifano yake hii ya anachokifnya
..Good morning Africa…“

Hizi ni baadhi ya picha akiwa Surround Studios na Tudd Thomas
0 comments:
Post a Comment