uzinduzi wa Movie hii uliofanyika APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. tumeona watu wengi wanalalamika kwamba story za kwenye Bongo Movie ni kama zinajirudia rudia hivi, lakini hii iko tofauti.
Story ya movie inahusu Daktari mmoja kutoka Marekani anakuja zake TZ kuvolunteer kama mwezi mmoja hivi.. kumbe hiyo ilikuwa ni mistake kwake?
Mengi yanamtokea huyu Daktari akiwa ndani ya TZ..
Kwa time yao unaweza kuingia mtaani ukaicheki kwenye maduka ambapo inapatikana kwenye DVD, nimeambiwa iko pia kwenye iTunes mtandaoni.
Hapa nna PICHAZ ambazo nimekusogezea uzinduzi iliyokuwa.
0 comments:
Post a Comment