Msanii wa Rnb Rihanna aka Rih Rih amekanusha taarifa za kuwa alionekana kwenye video akijitayarisha na kuvuta dawa za kulevya aina ya Cocaine. Video hio inamuonyesha Rihanna na marafiki wachache wa kicheza muziki wa reggae huku Rihanna akivuta kitu kisichojulikana.
Rihanna aliandika hivi instagram kuhusu uvumi huo uliosambaza na mtumiaji wa instagram ambaye kwa sasa amefuta account Yake..
0 comments:
Post a Comment