
Kwenye Leo Tena alikuwepo Diamond Platnumz pamoja na meneja wake, Babu Tale.. kama kawaida ya show ya Leo Tena pale huwa ni story nyingi nyingi zinakuwa zinaendelea, lakini Diamond nae akashea na watu wake kuhusu HEKAHEKA aliyowahi kukutana nayo.
Kulikuwa na maswali pia ambayo ilibidi Diamond ayajibu, mengi yalitoka kwa wasikilizaji wa show hiyo.
Ikaulizwa kuhusu tetesi za yeye na Meneja...