Happy anniversary to the man I want beside me every night for the rest of forever. I love you Mohammed...........Alhamdu lillah RabilaAllamina Mwenyezi Mungu nakushukuru kwa kutimiza miaka 13 Ya ndoa yetu.M/Mungu nakuomba uzidi kuniwekea Mume WANGU na umuepusha na maradhi,shari na husda za dunia.Eeeeh Yarabi nanyanyua mikono yangu uzidi kutulinda na ndoa yetu............... Ahsante sana mume wangu umenikuna panaponiwasha
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Posts (Atom)