...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Melissa ambaye ni mtoto wa muigizaji na mkosoaji maarufu wa mavazi
kupitia vipindi vya runinga, Joan Rivers amepanga kumfungulia mashitaka
daktari aliyemtibu mama yake kabla hajapatwa na umauti.
Melissa mwenye umri wa miaka 46 amepanga kumshitaki Dr Gwen Korovin
ambaye alidaiwa kutokuwa na kibali cha kufanya kazi za utabibu katika
Yorkville Endoscopy Clinic huko Manhattan ambapo Joan Rivers alifariki
akiwa na umri wa miaka 88.
Rafiki...
Posted by kifesi |
Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema
Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha
sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin...
Subscribe to:
Posts (Atom)