Familia ya Mr na Mrs Dean ‘Alicia Keys Na Swizz Beatz’ wametangaza
kuwa wanategemea kupata mtoto wao wapili. Alicia Keys ametumia mtandao
wa Instagram kutangaza kuwa baada ya miaka minne ya ndoa yao kudumu
wanategemea kupata mtoto wa pili. Keys ameandika hivi
“Happy Anniversary to the love of my life @therealswizzz!!” “And to
make it even sweeter we’ve been blessed with another angel on the way!!
You make me happier than I have ever known!...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Posts (Atom)