.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Ukiwa na simu ya mkononi, tablets au iPad na unafanya utalii au camping katika sehemu fulani mbali na eneo lenye umeme, hofu kubwa ni kuishiwa charge ya kutosha.
Kwa kuwa tent ndio nyumba inayohamishika kwa watu wanaofanya utalii ama camping, wataalam wametafuta jinsi ya kuondoa tatizo hilo na kuwafanya watu kuacha kutegemea power banks ambazo nazo huishiwa chaji pia.
Wataalam hao wameunda tent ambalo linatumia nguvu ya jua (solar power) ambalo linamuwezesha mtu kuchaji simu yake ya mkononi, tablets, iPad, MP3 Player na vingine huku akiwa huko huko camp ndani ya tent hilo.

Zaidi inapofika usiku, tent hilo huwaka kama nyumba iliyo na bulb, na hivyo haimuhitaji mtu kutumia aina nyingine ya vyanzo vya mwanga kama tochi n.k.
Posted by kifesi |
the QUARTZ Blog


posted 9 hours ago by admin
AY amepata nafasi ya kuingia ikulu ya Marekani kupitia mualiko maalum wa rais Obama kwa wasanii wa Afrika ambao walikuwa katika One Campaign yenye lengo la kuhamasisha kilimo Afrika.
AY ameungana na wasanii wengine wa Afrika akiwemo Femi Kuti, D’Banj, Fally Ipupa, Victoria Kimani na Owamuni.
Waimbaji hao wanaungana na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure jijini Washington D.C, mkutano ambao umeanza August 4 na utakamilika August 7.
Kikao hicho kitahudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya Marekani pamoja na wajumbe wa Young African Leaders Initiative (YALI).
Angalia picha zaidi:

Ay na D'Banj



Posted by kifesi |
Baada ya kuongelea manukato yake kwa muda wa mwezi mmoja sasa Rihanna yupo tayari kuweka sokoni bidha hii mpya,Wale wa Rihanna Perfume hii mpya inaitwa Rogue Man na inatoka September. Rihanna akiongelea perfume hii amesema “Inamanukato mazuri sana mpaka wanawake watakuwa wanaiba T Shirt za wanaume wao”
Rihanna-Rogue-Man-Ad Rihanna-Rogue-Man-Ad-2
Posted by kifesi |
EggyAgnes Gerald Video Model maarufu Tanzania ambaye hivi karibuni ulimuona kwenye video ya Tunda Man Ft Ali Kiba-Msambinungwa aliyehamia nchini Afrika kusini na kuonekana kusihi huko na mpenzi wake sasa inasemekana amepata kibali cha kusafiria cha raia wa nchi hio [South African Passport].
Mapema August 3 2014 Agnes aliweka picha ya Passport ya Africa Kusini ikiambatana na alama ya wapenzi wawili ikiashiria sababu ya kupata kibali hicho. Comment nyingi zimeonyesha kufurahishwa na uamuzi wa Agnes wa kufata mawazo na furaha yake.

Screen Shot Ya Agnes Ya Passpost Yake On Sammisago.com
Screen Shot Ya Agnes Ya Passpost Yake On Sammisago.com