Agnes
Gerald Video Model maarufu Tanzania ambaye hivi karibuni ulimuona
kwenye video ya Tunda Man Ft Ali Kiba-Msambinungwa aliyehamia nchini
Afrika kusini na kuonekana kusihi huko na mpenzi wake sasa inasemekana
amepata kibali cha kusafiria cha raia wa nchi hio [South African
Passport].
Mapema August 3 2014 Agnes aliweka picha ya Passport ya Africa Kusini ikiambatana na alama ya wapenzi wawili ikiashiria sababu ya kupata kibali hicho. Comment nyingi zimeonyesha kufurahishwa na uamuzi wa Agnes wa kufata mawazo na furaha yake.

0 comments:
Post a Comment