.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
Kaingia kwenye HEADLINES za Magazine kubwa duniani, BLACK ENTERPRISE ambao wamefanya nae exclusive interview, mengi kayasema hapa mengine hata sikuwahi kuyajua kutoka kwake.. kumbe ishu ya kuingia kushiriki Miss Universe hata hakuwa na idea ya kitu anachokifanya, aliingia kwa kujifurahisha tu !! Kingine alichokiongea ni ishu ya Flaviana Matata Foundation, taasisi ambayo aliianzisha kwa ajili ya kusaidia wasichana...
Posted by kifesi |
nt Rapa maarufu duniani Shawn Correy Carter amemkera mke wake Beyonce kwa kitendo cha kuwa na mawasiliano binafasi na mwanamuziki ambaye Jay anasimamia kazi zake Rihanna . Jay Z ambaye anatajwa kumiliki simu tofauti za mkononi ana simu maalum ambayo Ni Rihanna peke yake ambaye ana namba ya simu hiyo na watu walio karibu na rapa huyo na mkewe wanadai kuwa Beyonce amekerwa na kitendo hiki . Vyanzo vya story hii vimedai kuwa Rihanna...
Posted by kifesi |
...
Posted by kifesi |
Titanic ni moja kati ya movie iliyopendwa na bado inapendwa hapa Tanzania lakini kuna mengi yawezekana huyajui kuhusu movie hii. James Cameroon ndio aliyedirect movie hiyo1.Katika hatua za mwanzo za production hii movie waliiita ”Planet Ice”.2.Ilikuwa ndio movie iloingiza pato kubwa katika box office history,ikiinngiza takriban US$1.8 billion but baadae ilipitwa na Avatar. Hizi filam mbili zote ziliongozwa na James Cameron3.Mwanzoni...