nt
Rapa maarufu duniani Shawn Correy Carter amemkera mke wake Beyonce kwa kitendo cha kuwa na mawasiliano binafasi na mwanamuziki ambaye Jay anasimamia kazi zake Rihanna .
Jay Z ambaye anatajwa kumiliki simu tofauti za mkononi ana simu maalum ambayo Ni Rihanna peke yake ambaye ana namba ya simu hiyo na watu walio karibu na rapa huyo na mkewe wanadai kuwa Beyonce amekerwa na kitendo hiki .
Vyanzo vya story hii vimedai kuwa Rihanna ana uhuru wa kumcheki Jay Z kwenye simu muda wowote na japo mawasiliano yaliyopo baina yao ni ya kibiashara na kikazi zaidi , Beyonce amekuwa hapendezwi na ukaribu huu uliopo baina ya watu hawa wawili japo hawezi kufanya chochote .
Jay Z inadaiwa anakatisha mazungumzo au shughuli yoyote anayoifanya wakati akipigiwa simu na Rihanna na wakati mwingine amekuwa akiacha hata kula ili tu azungumze na mrembo huyu na mar azote mazungumzo yao huwa marefu kuliko kawaida .
Story nyingine zinadai kuwa Beyonce na Rihanna wamekuwa hawazungumzi kwa muda mrefu na Beyonce amekuwa akimkwepa Rihanna katika hafla tofauti zinazowakutanisha karibu
0 comments:
Post a Comment