
Lupita Nyong'o amekava Jarida La Glamour kama 'Mwanamke Wa Mwaka' na haya ndio mambo matano aliyosema kuhusu maisha yake.
1] Anapenda sana kuigiza ila anapata changamoto nyingi kuishi kama mtu maarufu.2] Ndani ya mwaka mmoja ametoka kwenye kuangalia Tuzo za Oscar kwenye Tv mpaka kushinda tuzo ya Oscar.3] Imehamasishwa sana na maisha ya Oprah.4] Aliambiwa yeye ni mzuri akiwa nyumbani ila vyombo vya habari vilimpa mtazamo tofauti.5] Ameteka watu...