Katika dunia yetu hii ya leo iliyovaa min skirt ni ngumu mno wenzi kufikia hatua mliyoifikia,hatua ya uchumba,kwa furaha niliyonayo sina maneno mengi ya kuongea zaidi ya kuwapa hongera,na kuwaombea kwa Mungu alinde uchumba wenu,azidishe upendo kati yenu na baadae mfikie ile hatua ya Mhimu,hatua ya ndoa,God bless you.
by Miss Temeke.
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment