
Taarifa
iliyoanza kusambaa usiku wa July 21 ni kuhusu Mabaki ya miili ya watu
ambao wanasemekana zaidi ya 100 kukutwa katika msitu mdogo uliopo eneo
la Mpiji,kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni,ikiwa imetelekezwa.
Mabaki hayo ya miili yameonekakana kuvuta mamia ya wananchi waliokuwa
wakishuhudia tukio hilo,baadhi ya mashuhuda walipoulizwa wamesema
mabaki hayo yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya plastiki ikiwa
imefungwa juu.
Wameongeza...