
Msanii wa
muziki kizazi kipya,Rachael kutoka THT akitumbuiza jukwaani kwenye
usiku wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika katika viwanja lidaz
Club,Kinondoni jijini Dar.
Sehemu
ya umati wa watu waliokuwa wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri kwenye
jukwaa la Fiesta usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni
jijini Dar.
Mmoja wa
wasanii wa kike wanaofanya vyema katika anga ya muziki wa
Bongogfleva,Shah akiwa na skwadi...