.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
omarion-megaa-2omarion-megaa-1
Posted by kifesi |
davidmainp-464x249
Kwa kitendo hichi msanii Davido amethibitisha kuwa hana tofauti zozote na WizKid ambaye wiki chache nyuma iliripotiwa kuwa wamegombana na wanatupiana maneno.Davido ametumia twitter yake kutoa pongezi kwa Wizkid na P Square kwa kutoa album zao mpya.

daido 2

Posted by kifesi |
Iran: Wafungwa miaka sita na bakora 91 kwa kucheza wimbo wa Pharrell
Kundi la wasichana na wavulana sita wa Iran waliocheza wimbo wa Pharrell Williams ‘Happy’ na kisha video yao kusambaa kwenye mitandao mwezi May mwaka huu wamekamatwa tena rasmi na kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela na bakora 91. Hukumu hiyo inakuja ikiwa ni miezi kadhaa tangu walipokamatwa kwa kosa hilo na kuachiwa kwa muda baada ya watu mbalimbali duniani kukemea kwa nguvu kitendo hicho kwa kuwa waliamini vijana hao walikuwa wanajifurahisha tu. Hata hivyo, kitendo hicho kilitafsiriwa kuwa kinyume na sheria za nchi hiyo hususani mavazi waliyokuwa wamevaa na aina ya michezo waliyoicheza. Vijana hao walikiri kosa hilo na kueleza kuwa walirubuniwa na watu kuwa ilikuwa sehemu ya usaili wa kazi ya uigizaji jijini Tehran. Muda mfupi baada ya hukumu hiyo kutajwa, mwanasheria wa aliyekuwa anawatetea vijana hao, Farshid Rofugaran ameeleza kuwa hukumu hiyo imesamehewa kwa mujibu wa sheria na kwamba itatekelezwa endapo vijana hao watarudia kosa kama hilo ndani ya kipindi cha miaka mitatu
Posted by kifesi |
Ulidata na Ole Themba? Linah anakuja na wimbo mkubwa zaidi, amshirikisha msanii mkubwa Afrika
Mwanamziki Linah anatalajia kuja na  nyimbo mpya kubwa kuliko ole thamba inayofanya vizuri kwa sasa.  “Yaani inakuja kubwa zaidi ambayo hiyo itakuwa funika, waswahili wanasema itakuwa ‘ndio basi tena..’ (anacheka). Nimeshaifanya ila kuna baadhi ya vitu ambavyo naenda kumalizia. Kwa hiyo Mungu akijalia hizo wiki zinazokuja ntaenda (Afrika Kusini) kumalizia.” Linah ameiambia tovuti ya Times Fm. Hata hivyo hakumtaja msanii huyo aliyefanya nae kazi na kuahidi kuwa itakuwa surprise baada ya kazi kumalizika na kutoka kama ilivyokuwa ‘Ole Themba’. Katika hatua nyingine, Linah ameeleza kuwa wimbo wake Ole Themba umempa mafanikio makubwa ambayo hakuwahi kuyafikia na kwamba sio Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla kwa kuwa video yake imechezwa katika vituo vingi sana vikubwa.
Posted by kifesi |
 Ni habri mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dda 
wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache
,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae  umezalisha kile amabcho wengi
 hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...
Tunawatakia maisha mema ya ndoa na barka tele