Mwanamziki Linah anatalajia kuja na nyimbo mpya kubwa kuliko ole thamba inayofanya vizuri kwa sasa. “Yaani inakuja kubwa zaidi ambayo hiyo itakuwa funika, waswahili wanasema itakuwa ‘ndio basi tena..’ (anacheka). Nimeshaifanya ila kuna baadhi ya vitu ambavyo naenda kumalizia. Kwa hiyo Mungu akijalia hizo wiki zinazokuja ntaenda (Afrika Kusini) kumalizia.” Linah ameiambia tovuti ya Times Fm. Hata hivyo hakumtaja msanii huyo aliyefanya nae kazi na kuahidi kuwa itakuwa surprise baada ya kazi kumalizika na kutoka kama ilivyokuwa ‘Ole Themba’. Katika hatua nyingine, Linah ameeleza kuwa wimbo wake Ole Themba umempa mafanikio makubwa ambayo hakuwahi kuyafikia na kwamba sio Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla kwa kuwa video yake imechezwa katika vituo vingi sana vikubwa.
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Mwanamziki Linah anatalajia kuja na nyimbo mpya kubwa kuliko ole thamba inayofanya vizuri kwa sasa. “Yaani inakuja kubwa zaidi ambayo hiyo itakuwa funika, waswahili wanasema itakuwa ‘ndio basi tena..’ (anacheka). Nimeshaifanya ila kuna baadhi ya vitu ambavyo naenda kumalizia. Kwa hiyo Mungu akijalia hizo wiki zinazokuja ntaenda (Afrika Kusini) kumalizia.” Linah ameiambia tovuti ya Times Fm. Hata hivyo hakumtaja msanii huyo aliyefanya nae kazi na kuahidi kuwa itakuwa surprise baada ya kazi kumalizika na kutoka kama ilivyokuwa ‘Ole Themba’. Katika hatua nyingine, Linah ameeleza kuwa wimbo wake Ole Themba umempa mafanikio makubwa ambayo hakuwahi kuyafikia na kwamba sio Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla kwa kuwa video yake imechezwa katika vituo vingi sana vikubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment