.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
jay na r kelly
 jay  alipokuwa mtoto akiwa na baba ake  r kelly
Dunia inasurprises nyingi, kuna watu hawapendi muonekano wao na hufanya juu chini hata kufanya upasuaji ili wawe na sura ya mvuto lakini wapo wengine ambao hawapendi kabisa jinsia waliyopewa na Mungu.Mtoto wa mfalme wa R&B, Robert Kelly aliyezaa na muigizaji Andrea Kelly aliyewahi kuwa mke wake ameipinga jinsia yake na kujiunga na kundi la watu wanaoishi kwa mtazamo tofauti na jinsia zao na kujibadilisha kuwa jinsia tofauti japo sio kwa kubadili viungo vya uzazi (Transgender/FTM). Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Jay Kelly na anaonekana kujuta kuzaliwa msichana. Jay kabla Hata hivyo, ameona bado hajachelewa na amebadili muonekano na aina ya maisha yake. Jay Kelly ni miongoni mwa watoto watatu wa R Kelyy aliozaa na Andrea. Wengine ni Joann Kelly na Robert Kelly Jr. Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay: jaya baada a
jay baada c
Posted by kifesi |
rambo

Polisi nchini Canada wanamsaka mtu hatari mwenye silaha ambaye amevaa mavazi kama ya muigizaji wa filamu za mapigano Rambo. Mtu huyo amewaua kwa kuwapiga risasi maafisa watatu wa polisi na kujeruhi wengine wawili katika tukio hilo la pamoja. Mashambulizi hayo ya risasi yamefanyika wakati polisi walilipokea simu juu ya mtu aliyekuwa na silaha Kaskazini mwa mji wa Moncton katika Jimbo la Pwani ya Mashariki ya New Brunswick.  Maafisa hao watatu waliokwenda katika eneo hilo waliuwawa na wengine kupata majeraha lakini sasa wapo katika hali nzuri. Mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 24 Justin Bourque, kutoka mjini Moncton, anadaiwa kuwa alibeba silaha nzito za mapigano pamoja na visu.Polisi waliweka picha ya mwanaume huyo akiwa amevaa mavazi ya kijeshi na kushika bunduki.
Posted by kifesi |
Kwetu fashion inazidi kukuwa kila mwaka,kutokana na ubunifu mzuri wa mavazi yenye sura halisi ya kutanagaza uafrika na utanzania wetu,zifuatrazo ni baadhi tu ya moja ya mamia ya mitindo ya mavazi iliyobuniwa na Missy Temeke,CEO wa kwetu fashion