
Chris Brown ameingia tena matatizoni baada ya kumzingua shabiki wa kike anaedaiwa kumrukia na kujaribu kumkiss mbele ya mrembo wake Karrueche Tran katika Club moja ya usiku.
Kwa mujibu wa
TMZ
, mwimbaji huyo wa ‘Loyal’ aliyekuwa na onesho katika club hiyo huko Texas, badala ya kuwaacha walinzi wake wamshughulikie msichana huyo kwa hasira alimsukuma vibaya.
Vyanzo vimeieleza Hollywoodlife kuwa mama mzazi wa Chris Brown na mpenzi wake...