Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na
kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds
aitwaye Perfect.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.
“Sina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,” alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.
gpl