Siku chach zilizopita kupitia kipindi cha xxxl Ali kiba aliongelea uhusiano wake na Diamond na kwenye teaser ya kipindi cha sporah,anaonekana akiseama kuwa diamond ni kama yupo siti ya nyuma kwake,sasa Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.
Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandika>>’Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke,Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu’.
0 comments:
Post a Comment