.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |



Hii ni harusi iliyowashutua watu wengi duniani na inaweza kuingia kwenye rekodi kubwa sana, harusi hiyo ilifanyika huko South Africa. Kati ya mtoto Sanele Masilela mwenye umri wa miaka 8 na Helen Shabangu mmama mwenye umri wa miaka 61 kufunga ndoa ya maisha, duuh!! hivi ni kweli jamani au ndiyo geresha tu, kwa huyo dogo.

0 comments:

Post a Comment