
Kundi la Mkubwa na Wanawe na Band yake ya Yamoto likiwa chini ya
Mkurugenzi na Manager Saidy Fella, sasa waaua kutoa hit baada ya hit ili
kuliteka soko zima la Muziki wa hapa Tanzania. Hii nyimbo mpa inaitwa
Inno ni baada ya ngoma kadhaa kuachiwa na kundi hilo na zote kupokelewa
vizuri na mashabiki wao, sasa wamekuletea hii....