
Kundi la Mkubwa na Wanawe na Band yake ya Yamoto likiwa chini ya Mkurugenzi na Manager Saidy Fella, sasa waaua kutoa hit baada ya hit ili kuliteka soko zima la Muziki wa hapa Tanzania. Hii nyimbo mpa inaitwa Inno ni baada ya ngoma kadhaa kuachiwa na kundi hilo na zote kupokelewa vizuri na mashabiki wao, sasa wamekuletea hii.
0 comments:
Post a Comment