T.I kutoka Marekani ni mmoja wa mastaa watakaotumbuiza kwenye stage ya tamasha la Fiesta linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na wakali wengine kama Diamond, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Waje, Stamina, Mwana FA, Victoria Kimani, Linah naVanessa Mdee.
picha na :millardayo |
0 comments:
Post a Comment