Story mjini ni kwamba Wiz Khalifa ameokana akila good
times mrembo Sara
Dajstani ambae ni model na inasemekana
kwamba ndio mpenzi wake mpya
baada ya kumwagana na Amber.siku chache zilizopita.
Wawili hawa walionekana pamoja kwenye ‘bata’ huko
Hollywood Marekani
Jumanne ya wiki hii ambapo japo
hawakukamatwa na camera wakiwa kwenye
picha
ya pamoja, walikuwepo pamoja ndani na hata kuondoka waliondoka
pamoja
0 comments:
Post a Comment