.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
 Tazama picha za CEO na mbunifu wa mavazi ya kwetu fashion,Miss t akiwa ndani ya vazi alilolidesign yeye mwenyewe,usisahu kuwa Miss T
 anapenda kudumisha vya nyumbani ndio mana mavazi yake mengi,yako katika mwonekano wa Kiafrica,mwonekano wa kinyumbani kama vazi hili alilovaa siku ya mkutano wa DICOTA,Hatukukwambia kama Miss Temeke ni Model pia siyo tu model wa kupitia mafunzo bali model wa kuzaliwa,pasipo shaka mwonekano wake na vazi 
mavazi yanvyomkaa say it all.
Enjoy picha ila usisahau kuwasiliana nasi kwa mawasiliano hapo juu ili kupata bidhaa yoyote ya kwetu fashion











0 comments:

Post a Comment